Parish Details
Historia fupi ya Parokia ya Magu
Parokia hii kwa sasa inaongozwa na
Paroko Pd. Onesmo Shingelwa ikiwa na takriban vigango 10. Pamoja na Paroko Pd.
Onesmo Shingelwa Parokia imekua ikipata huduma kutoka kwa kwa Mapadre toka chuo
cha SAUT na kutoka seminari ya Nyegezi. Parokia hii ilitoka katika Parokia ya
Mt. Mt.Bernadetha
Kahangara, ilizinduliwa rasmi mnamo mwaka 1978. Paroko wa kwanza alikua no Pd.
John Soma mmisionari wa shirika la wamisionari wa Africa (White Fathers)
akifuatiwa na Maparoko wengine takriban watatu wamisionari.
Miradi