HISTORIA KAGEYE

HISTORIA KAGEYE

Mwaka 1875, Mvumbuzi Henry Morton Stanley alipima kijiografia sehemu ya kijiji cha Kageye na kuandika kuwa kijiji hicho kiko maili 25 (kilomita 39) katika mwambao wa Nyanza a... More Details

TAMASHA LA CHAKULA CHA ASILI

TAMASHA LA CHAKULA CHA ASILI

Kituo cha Mtakatifu Dominiko Nyakahoja kiliandaa tamasha la chakula cha asili ambapo familia zilituimia tukio hilo kuburudika na kujiparia vyakula na vinywaji vya asili za m... More Details

UPADRISHO NYAMHONGOLO

UPADRISHO NYAMHONGOLO

Pd. Fabian Manoga alizaliwa tarehe 16 Januari 1988 katika Kijiji cha Nyamilama Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Ni mtoto wa 10 kwa Baba Lukas Ng'hwaya Tam'bheleja na ni mtoto wa 2 k... More Details

UPADRISHO NYANGUGE

UPADRISHO NYANGUGE

KUZALIWA: Francis Mathias Malimi MWANANTUMBA alizaliwa Februari 22, 1989 katika Kijiji cha Muda A-Nyanguge, Magu Mwanza (Tanzania). Ni mtoto wa nne kati ya watoto kumi na mbi... More Details

UPADRISHO MBARIKA

UPADRISHO MBARIKA

KUZALIWA: Alizaliwa tarehe 05/08/1993 Katika Hospital ya Biharamulo Mkoani Kagera, akiwa ni mtoto wa 01 kati ya watoto 06 wa Baba Ferdinad Tindi Lung'wecha na Mama Scholastic... More Details

UZINDUZI PAROKIA YA NYANG'HINGI

UZINDUZI PAROKIA YA NYANG'HINGI

Parokia Teule ya Mt. Ambrose wa Milani Nyang'hingi ni zao la Parokia ya Mt. Augustino Mkolani Jimbo kuu la Mwanza; Parokia inayohudumiwa na Mapadri wa shirika la Mt. Augustino. Shu... More Details

UZINDUZI WA PAROKIA YA KANGAYE

UZINDUZI WA PAROKIA YA KANGAYE

Uzinduzi wa Parokia ya KangayeParokia Teule ya Kangaye ilitangazwa kuwa Kigango tarehe 26/01/2020 iliwa chini ya Parokia ya Nundu na chini ya Mtaa wa Mtakatifu Francisco wa Asizi... More Details

UZINDUZI PAROKIA YA NSUMBA

UZINDUZI PAROKIA YA NSUMBA

Kwanza kabisa tunamshukuru Mungu kwa kutujalia uhai na Afya njema kufikia siku ya leo tunapo andaa historia hii ya Imani Katoliki hapa kwetu Nsumba ilituwe na uelewa sahihi wa kaja... More Details

MAHAFALI KALWANDE

MAHAFALI KALWANDE

CHUO CHA UFUNDI KALWANDE kinachomilikiwa na Kanisa katoliki Jimbo Kuu la Mwanza kimekuwa na utaratibu wa kutoa mafunzo ya muda mfupi (Wiki mbili) kwa wanaofanya kazi za ufu... More Details

1 - 9 of ( 9 ) records