Homilia ya Askofu Mkuu Tarehe 14/10/2024
Posted on: 15 Oct, 2024
Homilia ya Askofu Mkuu Nkwande Kumbukumbu ya Nyerere Tarehe 14 Oktoba 2024
Homilia ya Askofu Mkuu Renatus
Nkwande Tarehe 14 Oktoba 2024 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya
Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika katika Kanisa la Mt.
Francis Xavier Nyakahoja, Jijini Mwanza.
Ibada hiyo, ilihudhuriwa na
Viongozi mbalimbali wa Kitaifa akiwemo Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto
Biteko
Comments (0)
Post Your Comment