• archmwanza@gmail.com
  • +255 769 523 036

Harambee ya Cathedral

Harambee ya Cathedral

Posted on: 11 Nov, 2023

Tarehe 05/10/2023 ilifanyaka harambee kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa Kuu la Jimbo Kuu la Mwanza (St. John Paul II) Kawekamo Mwanza. Harabee hii ilitanguliwa na Adhimisho la Misa Takatifu iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande na kwa mara ya kwanza katika harambee ya ujenzi wa Cathedral alialikwa mgeni rasmi ambaye alikua ni Mkuu wa Majeshi Mtaafu Jenerali Venance Mabeyo akiongoza timu ya waalikwa katika harambee hii. https://youtu.be/yiHuy1nFnAo https://youtu.be/7Y2Bxq-8dZk?si=S3dnbHKvECXXhqfY 


Share This


Comments (0)

No Comment Found

Post Your Comment