• archmwanza@gmail.com
  • +255 769 523 036

Loreto Fun Run 2023

Loreto Fun Run 2023

Posted on: 11 Nov, 2023

Chancellor wa Jimbo kuu la Mwanza Pd. G. Kabomo aliunagana na waalimu na wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana  Loreto katika Loreto Fun Run 2023. Uongozi wa shule waalimu na walitoa shukrani nyingi kwa ushiriki huu Pd. G. Kabomo akiwakilisha uongozi wa Jimbo Kuu la walitoa  shukrani zao kwa Baba Padre kwa kuweza kushiriki pamoja  nao na kumuombea kwa mwenyezi Mungu azidi kumjalia afya njema ili uendelee kumtumikia. Hii ilikua ni sehemu ya maandalizi ya sherehe ya jubilei ya kusherekea miaka 25 tangu kuanzishwa kwa shule ya sekondari ya wasichana ya Loreto Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza.

Share This


Comments (0)

No Comment Found

Post Your Comment