• archmwanza@gmail.com
  • +255 769 523 036

Jubilei Butimba

Jubilei Butimba

Posted on: 12 Nov, 2023

Kuelekea Maadhimisho ya jubilei ya miaka 25 ya Parokia ya Mt. Fransisko wa Asizi Paroko wa Parokia ya Butimba anawaalika waumini wote wa Jimbo Kuu la Mwanza na maeneo mengine kuja kushiriki pamoja nao katika kudhimisha miaka 25 ya Parokia yao. kilele cha maadhimisho haya kinatarajiwa kuwa tarehe 25/11/2023. https://youtu.be/Ixvzj5CgQGM?si=vP9u9dr64nMlnWVL

Share This


Comments (0)

No Comment Found

Post Your Comment